WANA-ISRAEL WAAHIDIWA ULINZI NA UFALME ZAIDI KUTOKA KWA MAREKANI


Waziri kuu wa israel Benjamin Netanyau akimshukuru Rais Donald Trump












Tutailinda israel kutokana na vitisho vya Hamas wa gaza,Hizbollah wa lebanon,syria na Iran










Dunia imeshachoka kusikia vitisho na matumizi ya silaha za kinyuklia na mashambulizi ya kujitolea mhanga.







Kamwe ktk utawala wangu sitokubaliana na vitendo vya ugaidi vinavyoendelea











Trump akisisitiza jambo fulani kwa wana wa israel ktk kutafuta suluhu na wapalestina






wakuu na viongozi wa kidini ya kiyahudi wakimuonyesha Trump vifaa vya kale

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WANA-ISRAEL WAAHIDIWA ULINZI NA UFALME ZAIDI KUTOKA KWA MAREKANI"

Back To Top