MH.SAID MWAMBUNGU AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mh.Said Mwambungu amefariki dunia leo ktk hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ilyopo ktk eneo la muhimbili kwa matatizo yanayohusiana na figo ambayo yalikuwa yakimsumbua  kwa mda mrefu.



Bw. Said mwambungu hivi karibuni alipangiwa ofisi ya waziri mkuu tayari kwa kusubiri majukumu mengine.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MH.SAID MWAMBUNGU AFARIKI DUNIA"

Back To Top