HOLLYWOOD: KUTANA NA JIJI LA WATU MAARUFU NA WENYE PESA ZAIDI KUTOKANA NA SANAA

"Hollywood" bila shaka haliwezi kuwa jina geni masikioni mw watu hasa wapenzi wa mambo ya sanaa za maigizo,uimbaji,uchekeshaji a aina mbalimbali ya michezo itokanayo na sanaa.Sanaa ni miongoni wa tasnia ya fani inayohshimika zaidi hasa barani ulaya na marekani na inayoweza kumpa mtu utajiri,umaarufu wa hali ya juu na kufahamika zaidi ulimwenguni kote.Wasanii kama Mr.Bean,Charlie Champlin,De Caprio,Van Diesel,Denzel Washington,Madonna,Jackie Chan,Bruce lee,Jet ee,Jason Staham,Jennifer Lopez,Puff dady,Ja rule,Ashati,Beyonce knowles,Kelly Rowland,Robery kelly,Adele,50 Cent,Eminem,John Rambo,Anold Shatzeneneger na wengine wengi wao wamefahamika zaidi ulimwenguni zaidi kupitia sanaa hizo.Jimbo la California ktk mji wa Los Angeles umechaguliwa maalum kuwani mji wa wasanii wa aina mbalilmbali kwa kuishi na kufanyia kazi zao za sanaa huko.Mji huu wa Hollywood umeanza kuambulika rasmi toka mwaka 1853 ukiwa kama mji wa wakulima na wafugaji waliokuwa wakimiliki mashamba makubwa ya kisasa ya matunda kam machungwa,ndimu,malimaun na aina mbalimbali Citrus,Mpaka  kufikia mwaka 1903 mji huu wa Los angeles ulijlikana kama Manispaa tu na kufikia mwaka 1910 ndio ulipata hadhi ya kuitwa jiji rasmi.Mji kwa sasa ndio mji pekee ulimwengui unaoishi watumaarufu zaidi na wenye pesa kutokana na tasnia za sanaa kuliko mji wowote ule ktk uso wa dunia,vituo vya radio,magazeti,majarida,runinga  vingi vinapatikana ktk mji huu wa Los angeles.Makampuni ya kurekodi filamu na nyimbo kama Motion Picture show,Miramax,Capitol record,Columbia,Paramount,Sony,Touchstone,Mgm gold mayer na mengine mengi yana vituo vyake huko ndani ya mji huu.Mji huu umetengenezwa n kupangiliwa kisasa kabisa kwa njian nyingi,pana,viwanja vya ndege,bandari za kisasa,njia za reli za chini kwa chini (Metro sub ways) na kuzungukwa na mitaa ilijazwa majengo ya ghorofa marefu kabisa hasa kuanzia miakaya 1970 na kuendelea.Hotel zaidi ya 170 zenye hadhi ya nyota tano,makasino na kumbi za starehe nzuri na za kisasa kabisa ziko ktk mji huu maarufu ambao watu maarufu kama Trump,Bill gates,warren wanamiliki majengo mengi ya kifahari ikiwemo nyumba za kuishi,mahoteli.bila kusahau watu hawa maarufu kama Kina Michael jackson wanamiliki nyumba zao huko ndani ya jimbo hili la kifahari kabisa ktk nchi ya marekani.Mpaka sasa hollywood ina wakazi zaidi ya milioni 146,526, mji huu unaukubwa wa kilomita za mraba zipatazo 79.8 sawa na maili za maraba 30.81 ukiwa unapatikana ktk nyuzi 68 na 83 pembezoni mwa bahari ya pasifiki.






Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "HOLLYWOOD: KUTANA NA JIJI LA WATU MAARUFU NA WENYE PESA ZAIDI KUTOKANA NA SANAA"

Back To Top