
Wafaransa wameamua kumchagua Emmanuel Macron kuwa ndio Rais wa Ufaransa ktk uliokamilika jana na matokeo kutangazwa saa 20:00 usiku kwa majira ya nchi hiyo sawa na saa 22:00 usiku kwa saa za mashariki.

Macron ndiye Rais mdogo aliyewahi kuchaguliwa na wafaranza akiwa na umri wa miaka 39 tu,Macron amependwa kwa sera zake za uchumi na kutetea kubaki ndani ya umoja wa ulaya ikiwa ni tofauti na mgombea mwenza mwanamama Marine Le pen akiwa na sera za kujitoa ulaya.

Macron ameshinda kwa asilimia 65.5% sawa na wapiga kura milion 31 na mama akiwa na 34.5% sawa na waipiga kura milion 16 tu walimpigia mama huyu.
Wafaransa wamekesha wakishangilia ushindi huo kwa mziki mpaka asubuhi.
0 Comments "EMMANUEL MACRON AINGOZA UFARANSA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 39"