Shirika la haki za kibinadamu la Amnesty international limetoa orodha mpya kwa mwaka 2016-2017 na kizitaja nchi mbalimbali duniani zinazoongoza kwa kunyonga watu wanaofanya makosa mbalimbali yakiwemo ya mauaji,kisiasa,wizi hasa makosa ya jinai.
Amnesty imetaja kuwa kwa sasa dunia imefikia 37% ikiwa zaidi ya watu 1032 wananyongwa kwa sheria ambayo inapingwa na umoja wa mataifa(UN) na kuziomba nchi zote kujitahidi na kuziondoa na kutotumia sheria hii ambayo inaonekana kukiuka haki za kibinadamu. idadi hii ni nje ya wale wanaonyongwa china pekee
Hata hivyo China inaonekana kuongoza kwea kunyonga hadi watu 1000,irani 400,iraq 250,saudi arabia 100 na marekani,somalia,korea kaskazini,pakistani, na kufanya jumla ya watu wanonyongwa duniani kote kufikia 3,117,Marekani imeshika nafasi ya 7 ktk nchi zinazoongoza kwa kunyonga kati ya nchi 141.
Vifo hivi vya kunyongwa vinaweza kuwa kwa kutumia kamba,kupigwa risasi,kuchomwa sindano ya sumu,kupewa mateso makali hadi kufa.

0 Comments "CHINA YONGOZA KWA KUNYONGA DUNIANI"