(KOOL AND THE GANG) NAWATAMBUA VYEMA KWA KAZI ZAO NZURI ZINAZOTAMBA TOKA 1960s HADI SASA!

Kool and the Gang ni miongoni mwa makundi ya bendi za mziki wa jazz,blues,funk na r&b yaliyowahi kutamba sana hasa miaka ya 1970-80s licha kuanzishwa kwake mwaka 1964 ktk mji wa New Jersey nchini marekani.
Kundi hili la watu wenye asili kutoka bara afrika yani wamarekani weusi (Black americans) wapatao 10,kundi limefanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni 70 duniani kote ktk albamu zake 34 waliwahi kutoa.
Nyimbo ziliwaweka tk nafsi kubwa kujulikana ndani yamarekani na nje yni kama:-

" Jungle Boogie"
"Celebration"
"Fresh"
"Ladies Night"
"Lets go Dancing"
"Cherish"

Album kama Live at Pjs 1971,
Good times 1972,
Wild and Peaceful 1973,
Light of the worlds 1974,
Open sesame 1976,
Ladies night 1979,
Celebrate 1980,
Something Special 1981,
Forever 1986,Gangland 2001,
Kool and The Gang 2008,
kool for holidays 2013,
na nyinginezo nyingi zaidi ambazo zimefanya vizuri sana...........

Kundi lina utajiri usiopungua dola milioni 20,pia limepokea tuzo ibalimbali za kimataifa zikiwemo za Grammy awards.

Masikitiko na kuwa baadhi ya wanamuziki hao wamesha tangulia mbele ya haki kama..
Ricky west amefariki 1985,
Charles Smith 2006,
Robert Mickens 2010,
Woodrow Sparow 1969,
Clifford Adams 2015,

Kwa sasa wanamuziki wanne ndioi wanaonekana ktk matamasha mbalimbali kama
Robert bell,Ronad Bell,George Brown,James Taylor JT wakishirikiana na wanamuziki wapya wa bendi hiyo kwa sasa.









Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "(KOOL AND THE GANG) NAWATAMBUA VYEMA KWA KAZI ZAO NZURI ZINAZOTAMBA TOKA 1960s HADI SASA!"

Back To Top