
Walimu hao 3,081 waliochaguliwa wanatakiwa kufika na kuripoti ktk vituo vyao vya kazi baina ya tarehe 18-25 April 2017
Kati ya walimu hao 3,081 walimu 1,537 ni wa shahada na 1,544 ni wa stashahada na sehemu kubwa ya walimu hao wamepangwa ktk shule za elimu ya juu yaani kidato cha tano na sita na wachache ktk shule za kidato cha nne.
Waziri Simbachawene amekiri kuna upungufu wa walimu wa masomo ya hisabati na sayansi wapatao 26,026 sawa na 60% kwani waliopo kwasasa ni 17,225 wakati jumla yao inatakiwa kufikia 43,248
1 Comment "SERIKALI YAMWAGA AJIRA MPYA KWA WALIMU"
Weka link za majina kijana tuyaone kirahisi hapa.