Saturday, February 25, 2017
Yanga waichapa simba bao moja ktk dakika ya tano kwa mkwaju wa penati iliyopigwa na Simon msuva.
Ashangilia kwa mbwebwe kuelekea upande wa mashabiki wa simba.
Simba warudisha majibu kwa yangu kwa kurudisha goli
Timu ya wekundu wa msimbazi waibuka kidedea kwa kuifunga timu ya yanga afrika goli mbili kwa moja (2-1)
0 Comments "KILICHOJILI UWANJA WA TAIFA:- MECHI BAINA YA SIMBA NA YANGA"